Alisulubiwa Yesu

 


Alisulubiwa Yesu Alikufa Bwana
Kajitoa nafsi Yake Nipate Uzima.


Dhambi zangu ni sababu Ya kufa kwa Yesu
Neema Yake nyingi na u Pendo wake mkuu.


Jua lilipo jificha Kulikuwa giza
Alipolaani Wakristo Kwa ajili yetu.


Uso wangu nafunika Nimuonapo Yeye
Machozi huu tiririka Roho ushuhuru.


Lakini huzuni yote hailipi deni
Najitoa kwako Bwana Kama niwezavyo.


Kufa kwake kwanitosha Nami nilikufa
Na vyote vya dunia hii Kwangu vimekufa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *