Yesu ni Jina Nipendalo
Yesu ni jina nipendalo. Napenda kulisikia;
Napenda kulitamka hilo, Lililoniridhisha.
Chorus
Yesu, nakupenda, Yesu, nakupenda;
Yesu, naktipenda, Kwani ulinipenda.
Jina hilo huniambia, Mwokozi alinipenda;v
Damu yake ilimwagika, Nipate kuokoka.
Lanionyesha sifa yake, Iliyo katika Baba;
Njia ijapokuwa giza, Yesu huniongoza.
Lanidhihirishia Yesu, Aliyenihurumia;
Laondoa taabu yangu, Niwe wake daima.