Wewe u Mwaminifu
Wewe u Mwaminifu Baba Yangu, Hakuna kizuizi chochote
Hugeuki na hukosi huruma, tabia yako hata milele
Ref
We u mwaminifu We u mwaminifu kila siku naona rehema
Chochote nitakacho unanipa We u Mwaminifu kwangu Bwana.
Wakati wa kiangazi na mvua Jua, Mwezi, Nyota vyatangaza
Pamoja na uumbaji tutangaze fadhili zako nao upendo
Samaha La dhambi pia amani, Uwepo wako wafurahisha;
Nguvu za leo tumaini zuri la kesho, mibaraka zote nimepata.