Wakati wangu kuomba<

 


Wakati wangu Kuomba
Umenialika kusala
Nimsihi Mungu Mwenyezi
Anitulize Kwa Mapenzi
Nyakati Za Shaka Nyingi
Nipate Ufadhili


Ref
Kwa Wewe Nitangojea
Ewe, Wakati Wa Kuomba


Wakati Wangu Kuomba
Umeniletea Furaha,
Pamoja Nao Wenzangu,
Nashirikiana na Mungu
Mahali Hapa Nikae,
Uso wa Mungu,Nimwone:


Wakati wa Kanisa Kuomba
Mabawa yake Hulishika
Kwa Yesu Aliye Kweli
Alingojea Kubariki
Tangu Alinialika
Nimwamini Kwa Hakika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *