Uliniimbie tena, Neno la Uzima
Uliniimbie tena, Neno la uzima
Uzuri wake nione, Neno la uzima
Neno hili zuri, lafundisha kweli
Ref
Maneno ya uzima ni maneno mazuri
Manemo ya uzima ni naneno mazuri
Kristo anatupa sote, Neno la uzima
Mwenye dhambi asikie Neno la uzima
Latolewa bure, Tupate wokovu
Neno tamu la Injili, neno la uzima
Mwenye dhambi asikie Neno la uzima
Litatutakasa, kwa haki ya Mwana