Tumshukuru Mungu

 


Tumshukuru Mungu
Kwa kinywa na kwa moyo
Atendaye makuu
Popote hata kwetu
Tangu kuzaliwa
Mpaka leo hivi
Na siku zijazo
hutuhurumia.


Baba mwenye nguvu
Atupe siku zote
Mioyoni mwetu
Furaka na amani
Baraka yake kuu
Itusaidie
Tushinde huzuni
na shida zozote


Tumsifu mwenyezi
Aliye Baba yetu
tumsifu na mwana
Aliyetuokoa
Tumsifu na Roho
Atutakasaye
Tumsifuni Mungu
Sasa na milele.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *