Tumeni Injili

 


Twasikia mwito kutoka mbali,
Tumeni Injili
Roho za watu na zionekane
Tumeni Injili.


Ref
Tumeni nuru ya Injili
Ing, are duniani
Tumeni nuru ya Injili
Ing, are duniani.


Tumeitwa kueneza Injili
Tumeni Injili
Sadaka twaziweka msalabani
Tumeni Injili.


Natuombe nehema ienee
Tumeni Injili
Na Roho wa Kristo uonekane
Tumeni Injili.


Usichoke kazi ni kwa Upendo
Tumeni Injili
Taji ya uzima tupate mwisho
Tumeni Injili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *