Shangwe Kwa Bwana

 


E Yesu mwokozi
U Bwana wew pekee
Siku zote, nitasifu
Ajabu ya mapenzi yako
Hema langu, na faraja
Kimbilio la nguvu
Pumzi yangu, na vyote vyangu
Vikuabudu milele


Chorus
Shangwe kwa Bwana dunia yote
Enzi na sifa kwake mfalme
Nchi bahari viinamie
Sauti Yako kuu
Sifa kwa kazi ya mkono wako
Niatakupenda milele Bwana
Ahto zako hazilinganishwi kamwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *