Juu ya Vyote
Juu ya nguvu zote
na falme zote
Juu asili yote
Na vyote viumbwavyo
Zaidi ya hekima
Na njia zote za watu
Ulikuwa hapa
Kabla vyote kuwepo
Juu ya falme zote
Juu ya enzi yote
Zaidi ya yote
Yaliyojulikana….!!!!
Zaidi ya utajiri”
Na hazina ya dunia
Hakuna namna
Kufananishwa na chochote
Ref
Ulisulubiwa
Uliwekwa nyuma ya jiwe
Uliishi kufa
Na Kukataliwa
Kama rose
Linavyokanyagwaa aah !
Ulienda chini,
Ukanifikiria mimi
Juu ya vyote.