Japo Dhambi Ni Nyekundu
1. Japo dhambi ni nyekundu,
Zitakuwa nyeupe,
Japo dhambi ni nyekundu,
Zitakuwa nyeupe,
Japo kuwa ni nyekundu
Takuwa safi
Japo dhambi ni nyekundu,
Japo dhambi ni nyekundu,
Zitakuwa nyeupe,
Zitakuwa nyeupe.
2. Sikia sauti yake
Umurudie Mungu
Sikia sauti yake
Umurudie Mungu
Mungu yeye wa huruma,
Mwenye upendo
Sikia sauti yake
Sikia sauti yake
Umurudie Mungu
Umurudie Mungu
3. Utasamehewa dhambi
Na hatazikumbuka,
Utasamehewa dhambi
Na hatazikumbuka,
Asema tumutazame
Yeye asema
Utasamehewa dhambi
Utasamehewa dhambi
Na hatazikumbuka,
Na hatazikumbuka.