1. Mle kaburini, Yesu Mwokozi!

Alilazwa chini, Bwana wangu!



Ref

Bwana! Amefufuka, Kifo kimeshindwa kabisa!

Gizani mle alitoka chini,

Sasa atawala huko Mbinguni!

Yu hai! Yu hai! Bwana Yesu yu hai!



2. Aungoja huo, Yesu Mwokozi!

Mchana ujao, Bwana wangu!



3. Walinda kaburi, Yesu Mwokozi!

Bure ni muhuri, Bwana wangu!



4. Kifo kimeshindwa, Yesu mwokozi!

Pingu zimevunjwa, Bwana wangu!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *